Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?