Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
endelea naye na anavyokubania siku akikupa ujipange maana huenda ukawajibika kufanya kazi ya ziadaNifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
We naye acha ujinga sasa mqanamke msomi ndo ana nn cha ziada we vipi hebu futa huu uzi bana. Mbona watu kibbao wameoa wasomiNifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
Hawajiamini na wanaume wengi siku hizi wapenda mteremko. Yaani tuonane leo na kufanya mapenzi leo leo. Hata hivyo wewe ni mvumilivu sanarafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?
Kama anakunyima jua anazo sababu za msingi ambazo zinampelekea akufanyie hivyo, huenda akawa hataki kufanya hilo tendo mpaka aingie ndani ya ndoa au anataka mkapime afya zenu au wewe unamforce kiac ambacho kinampelekea kukutilia hofu labda endapo atakupa hautatimiza ahadi zako ambazo ulimhaidi.
Na kuhusu kumuacha mimi naona sio swala la busara coz kukunyima tendo la ndoa sio kigezo cha kumuacha,
hta kama amesoma sana hutakiwi kuogopa kwa7bu hata wasomi wanayomapenzi yadhati.
Kuhusu swala la rafiki yake kukuambia kwamba wanaume wanamuogopa nadhani sio kweli kwani mbona wewe umempenda na humuogopi?
AU WEWE SIO MWANAUME?????
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
Mkuu umeongea point sana,nashukuru kwa ushauri wako,leo tunatoka out nilitaka nikache,,thank you