Jamani mimi na elimu ya kawaida ila pia najishughulisha na ku repair simu, redio na tv, na vitu vingine vya umeme kama hivyo.
Ila na ndoto yangu kubwa ninayoiwazaga kila siku na nipo tiyari kwa kulipia ilimradi nijifunze na ndoto yangu siku zote ni.
Natafuta mwalimu wa kunielekeza baadhi ya vitu ambavyo sivijui
Pia dhumuni langu ni tutengeneza amplifier za aina zote na najua kuna wataalam humuhumu yani wale electronic man ..naombeni mnisaidie pia nambaangu hii apa 0758559510
Nawategemea sana asante.
View attachment 1066852
Sent using
Jamii Forums mobile app