Nimependa kilichofanyika mwenge

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,456
Hakika hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.
Unawahamisha watu na kuwaonyesha ni wapi pa kufanyia shughuri zao ili kuweza kujipatia kipato cha kila siku.

Nimeona machinga wa pale mwenge wameondolewa na kupewa eneo karibu na eneo hilo. Wamehamia barabara inayoelekea COCACOLA maalumu kama cocacola road
 
Huwezi amini ikifika mida ya jioni wanajipanga kama kawa.
 
ok, wewe ni shabiki tunangojea maoni ya wahusika kwenye market system...anyway.. asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…