Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
22,138
Reaction score
32,716
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.

1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.

2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.

3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.

4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.

Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
 
Mbowe kaona sio rahisi kufanikisha ushindi kwa njia za ugaidi huo ni uhaini kaona bora apambane kwa hoja za ushindi, hii ndio SIASA
 
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.

1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.

2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.

3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.

4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.

Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
Creativity.....
 
BAD LOSER
 
Kwani kisheria kunatakiwa kuwe na mabunge mangapi?
Mabunge haya yanatuchanganya sisi wakariri katiba

Bunge la kikatiba ni moja ila mabunge yasiyo ya kikatiba ni mengi. Kuna bunge la watoto vijana, wanafunzi etc.
 
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.

1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.

2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.

3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.

4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.

Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
Sisi kqa ubunifu tu hatujambo. Ndio maana "Mtu Yule" aliogopa sana.
 
Back
Top Bottom