Nimepatwa na upofu

Nimepatwa na upofu

Miss Bunyeta

Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
70
Reaction score
14
Wanajamvi naomba mnieleweshe mnaielewaje hiki kibango? naamini wengi tumepita tukakiona katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi mnakielewaje tafadhali?
 
Attachments

  • 1427196050136.jpg
    1427196050136.jpg
    101.2 KB · Views: 1,816
Nilivyosoma heading nikajiuliza inakuwaje mtu kuwa kipofu na kuweza kubrowse na ku-type vizuri ,ingawa inawezakana ila nilitaka nijue zaidi
 
Wanajamvi naomba mnieleweshe mnaielewaje hiki kibango? naamini wengi tumepita tukakiona katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi mnakielewaje tafadhali?
Kuna mbunge humu aliulize hili swali Bungeni?

Haya ni mauzauza yanayohitaji ufafanuzi wa kina na si porojo na propaganda.

Tujue kuwa tumeuzwa mazima au nini kinaendelea?
 
Mkuu kilichokuwa kichwani kwako ni sawa na kilichokuwa kwangu
Nilivyosoma heading nikajiuliza inakuwaje mtu kuwa kipofu na kuweza kubrowse na ku-type vizuri ,ingawa inawezakana ila nilitaka nijue zaidi
 
Heading yako na vilivyomo ndani haviendani!!!
 
Back
Top Bottom