Teh kama na wewe ni player basi jiandae, kocha wako anakusubirije kwa hamu
mh!?! asante madam...watoto cjakataa kulea,ila vp ye namuepukaje...nisaidie madam
Haya ni vizuri mpendwammh!!.... i'm gentleman naogopa sana kuwa na coach, kwa maana kocha ni kocha tu yeye ndiye anae kicontrol hata ufanyeje!!
Hivi kuna uhaba wa kujitambua siku hizi?
Haya ni vizuri mpendwa
Ndio uanze kuifanyia kazi ile proposal yangu ya jando na unyago kwa vijana....
Hebu basi tuanze hii project kwa sababu demand ipo ya kutosha na jamii imetelekeza majukumu yake ya kuhakikisha kizazi hakiangamii.
Yeah sure, Kila mtu ana mjanja wake. So ukipata mjanja wako ni unakuwa tu mpole huku na wewe unajipanga kimyakimya kufanya mashambulizi. Afu sometimes unaweza ukajikuta Unacheka tu, coz unajiona ulivyokamatwa na ujanja wako wote tehndio hivyo mpendwa! ukipata kocha kma mleta mada hapa alivyonasa vimbwanga vikianza utajikuta unaenda kushitaki hata kwa balozi baada ya uvumilivu kukushinda!! namshauri ajitahidi kuwa staring japo nguvu yake ni ndogo ya kulinganisha na jambazi kujinasua hawezi hivyo cha msingi mahusiano hayapeleke kidiplomasia!
Now your taking babu.....
Tuanze na mpangomkakati...😉😉
Waulize hao boys wenzio wasiojitambua!
Hebu basi muwasaidie hawa wadogo zenu. Hamuoni kwamba hali zao ni mbaya sana?Hahaha babu DC mjukuu wako nunda msamehe bure
Yeah sure, Kila mtu ana mjanja wake. So ukipata mjanja wako ni unakuwa tu mpole huku na wewe unajipanga kimyakimya kufanya mashambulizi. Afu sometimes unaweza ukajikuta Unacheka tu, coz unajiona ulivyokamatwa na ujanja wako wote teh