Nimepatikana kwa kahaba

inatia huruma sana kwa wanawake wanaoendelea kusubiri ndoa kwa muda mrefu, kiuhalisia wanaume wengi tunaoa wanawake tuliodumu nao chini ya miezi sita na kuwaacha wale tuliotoka nao nbali, ndo mana ndoa nyingi haziishi migogoro.

mkuu oa mchumba wako achana na kicheche huyo.
 
Vimiezi tu vinakubadilisha mawazo hivyo na ulikuwa na mtu wako wa uhakika?
 
Ha ha ha ndo matatizo ya kuzibua chemba lazima utake tena na tena.... Endelea na mchumba wako kama hutaki kujuta, malaya ni malaya tu. Kunguru hafugiki labda uwe mchawi

Muache aje aishi kwa hofu na presha lukuki.

Bora malaya ambaye hujui kama ni malaya
 
Wanaume wa dar tatizo kula soseji na chips ufahamu wa kufikiri ni mdogo ushauri gani sasa unataka daa vijana walizaliwa nyakati za kikwete kazi Kweli kweli
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…