Nimepatikana kwa kahaba

tanga sehemu gani mbona mi siwaoni?
 
Asante mkuu
 
Tatizo mtu akijua unamchunguza anajihami makucha yote anaficha
Sasa wewe utaenda kumwambia unamchunguza....hyo si unafanya kimyakimya! Kwanza ushasema ni kicheche unajua haswaa...hope jibu unalo. Jamani wanaume hawa bwana! Yani mtu ushajua ni kicheche, hapohapo umeenda kujipigiza yani una- risk maisha yako na mchumba ako coz ya ujinga. Lini wanaume mtazinduka! Mnaua wanawake walotulia...sasa wewe jiloge muoe mbona utafurahi na roho yako! Utakuja kugundundua umetupa dhahabu na kuokota KOKOTO. Ohoooo. Nimewahi kushuhudia mtu akijuta anamwacha mchumba wake ...akazama kwa mchepuko...tena alikua kicheche km huyo wako......hadi Leo anajuta na hiyo ni life regret. Kutupa dhahabu na kuokota kokoto....
 
Yaani wewe unaomba ushauri wakati haujui unataka nini...[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…