Nimepatikana aisee

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,698
2,274
Jana, shemeji yenu aliniomba ruhusa aende na watoto wakasalimie kwa shosti yake mitaa fulani. Nikawaruhusu kwa roho nyeupe tuu, mimi mwenyewe sikuwa na mishe yoyote ila nikaona nibaki kwa sababu kuna mifugo si busara kuacha nyumba tupu. Nikiwa nimebaki peke yangu, mida fulani nikatoka kwenda kuchukua vocha dukani karibu tuu na nyumbani. Nilipofunga tu geti na kupita nyuma ya nyumba kwenye uchochoro, nikakuta dada mmoja wa nyumba ya jirani yuko mbele yangu, tunaenda njia moja. Huyu dada inaonekana anasoma maana mara nyingi namuona nyakati za likizo tuu.

Daah, Mungu si athumani wala Aisha wala Jecha, yule dada ameumbika sana. Zigo kwa nyuma ni matukupenye, alafu hakuvaa nguo za ndani, alikuwa amejifunga kitenge tu, na nyingine kazungusha kifuani kuziba matiti. Nilipomsogelea nilikutana na harufu ya perfume kali sana nikapatwa na kiwewe. Nilipomfikia nikamsalimia huku nikimpita ili kujiepusha na majanga.

Haaaaaa!! akanisalimia "shikamoo baba fulani". Nilipomjibu, nikakutana na swali, "eti mama fulani yupo? (Mke wangu). Nikasema ametoka kidogo ameenda kusalimia ndugu zake sehem flani. Basi nikamwacha. Niliporudi nyumbani, baada kama ya dakika kumi nikasikia mtu anagonga geti na kufungua moja kwa moja. Nikatoka kujua ni nani, kumbe ni yeye. Nikamkaribisha, akaniuliza kama nimewasha jiko la mkaa anahitaji moto kuwasha jiko lake. Nikamwambia upo auchukue tu, wakati huo mimi nakagua mabanda ya kuku. Mara nyuma yangu nikasikia sauti, "mama yangu naungua..". Nikageuka na kumpa pole, mara akaja kunionyesha kidole alichokuwa analalamika kuungua. Nikamtania "nyie wadada wa dotcom hizi kazi hamuwezi, mikono yenyewe laini imezoea kushika kalamu na kubofya computer tu."

Nikawa kama nimechokoza nyuki. Akaniambia "alafu wewe .... acha utani wako ujue.. mara nikaona kitenge kilichofunika maziwa kinadondoka, akabaki na sidilia tuu. Nikapigwa na bumbuazi nisijue la kufanya, nimekodoa tu macho na kuguna. Akaliokota, huku akiniangalia. Mara nikamwona akienda kufunga geti kwa ndani, alafu akarudi. Akaja akanishika kiuno na kunilazimisha nimbusu huku akinivuta kuingia ndani. Sikuwa na uwezo wa kuongea nikabaki nahema tuu. Ndo hivyo nimepatikana miye, hapa nawaza kuhama au nifanyeje. Ila ni mzuri balaa
 
Mmmhhh huu uongo uliotukuka...huo moto we umeuwasha saa ngap uku ulikuwa unakagua kuku.na yaan ameumbika akose wa kumtongoza mpaka ajilengeshe kwako tena ata hamjazoeana.aaahhh czan kama ni kwel
Maake wadada walioumbika kila cku wanatongozwa na wa2 wasiopungua watatu
 
...bado sijaelewa umepatikana na nini..!!?? ufafanuzi plizz, maana hayo mashankupe ni meengi kila kona ukizubaa yanakuingiza kingi kama hivyo na mizigo yao ya kichina...
 
Naona mwili unatamani umgegede...ila karoho kako kanapingana na mwili ......usihame ila mkataze asirudie tena na ww acha tamaa ila ukiona huwezi kapigie mbaaaali usije ukarudi tena kuomba ushauri baada ya kufumaniwa
 
Huyo atakusababishia matatizo naomba tu namba yake mapema....!!nikuepushie mbali balaa
 
Jana, shemeji yenu aliniomba ruhusa aende na watoto wakasalimie kwa shosti yake mitaa fulani. Nikawaruhusu kwa roho nyeupe tuu, mimi mwenyewe sikuwa na mishe yoyote ila nikaona nibaki kwa sababu kuna mifugo si busara kuacha nyumba tupu. Nikiwa nimebaki peke yangu, mida fulani nikatoka kwenda kuchukua vocha dukani karibu tuu na nyumbani. Nilipofunga tu geti na kupita nyuma ya nyumba kwenye uchochoro, nikakuta dada mmoja wa nyumba ya jirani yuko mbele yangu, tunaenda njia moja. Huyu dada inaonekana anasoma maana mara nyingi namuona nyakati za likizo tuu.

Daah, Mungu si athumani wala Aisha wala Jecha, yule dada ameumbika sana. Zigo kwa nyuma ni matukupenye, alafu hakuvaa nguo za ndani, alikuwa amejifunga kitenge tu, na nyingine kazungusha kifuani kuziba matiti. Nilipomsogelea nilikutana na harufu ya perfume kali sana nikapatwa na kiwewe. Nilipomfikia nikamsalimia huku nikimpita ili kujiepusha na majanga.

Haaaaaa!! akanisalimia "shikamoo baba fulani". Nilipomjibu, nikakutana na swali, "eti mama fulani yupo? (Mke wangu). Nikasema ametoka kidogo ameenda kusalimia ndugu zake sehem flani. Basi nikamwacha. Niliporudi nyumbani, baada kama ya dakika kumi nikasikia mtu anagonga geti na kufungua moja kwa moja. Nikatoka kujua ni nani, kumbe ni yeye. Nikamkaribisha, akaniuliza kama nimewasha jiko la mkaa anahitaji moto kuwasha jiko lake. Nikamwambia upo auchukue tu, wakati huo mimi nakagua mabanda ya kuku. Mara nyuma yangu nikasikia sauti, "mama yangu naungua..". Nikageuka na kumpa pole, mara akaja kunionyesha kidole alichokuwa analalamika kuungua. Nikamtania "nyie wadada wa dotcom hizi kazi hamuwezi, mikono yenyewe laini imezoea kushika kalamu na kubofya computer tu."

Nikawa kama nimechokoza nyuki. Akaniambia "alafu wewe .... acha utani wako ujue.. mara nikaona kitenge kilichofunika maziwa kinadondoka, akabaki na sidilia tuu. Nikapigwa na bumbuazi nisijue la kufanya, nimekodoa tu macho na kuguna. Akaliokota, huku akiniangalia. Mara nikamwona akienda kufunga geti kwa ndani, alafu akarudi. Akaja akanishika kiuno na kunilazimisha nimbusu huku akinivuta kuingia ndani. Sikuwa na uwezo wa kuongea nikabaki nahema tuu. Ndo hivyo nimepatikana miye, hapa nawaza kuhama au nifanyeje. Ila ni mzuri balaa
Kwa hiyo umemgegeda?
 
Back
Top Bottom