Umeelezea vibaaya story nzuuuri!!!
Usidanki danki sema ulivipotezaje, lini, vimekupa usumbufu gani, na jinsi ulivyovipata.

Hao ndio wasomi wetu,analeta story as if watu wanajua issue nzima ilivyokuwa,hawajui wezao wakileta habari ya muendelezo huwa wana refer thread ya nyuma ili kama mtu ilimpita ajue kitu gani kinaendelea.Mtoa mada ebu weka thread yako ya nyuma au jazilizia nyama utueleze ilikuwaje vikapotea na vitu vinavyofanana na hivyo.
nishatoaga tangazo humu mkasa mzima jinsi nilivopotelewa na story nzima, huu ni mrejesho tu kwa wadau! ndo mana ambao hamkupita hapa mnamo tarehe 4.2.2015 ndo mnaona habari haijitoshelezii...:nod:
Hao ndio wasomi wetu,analeta story as if watu wanajua issue nzima ilivyokuwa,hawajui wezao wakileta habari ya muendelezo huwa wana refer thread ya nyuma ili kama mtu ilimpita ajue kitu gani kinaendelea.Mtoa mada ebu weka thread yako ya nyuma au jazilizia nyama utueleze ilikuwaje vikapotea na vitu vinavyofanana na hivyo.
Ulitakiwa kutambua kuwa aliyesoma bandiko la awali ndiye atasoma la ss, kurahisisha ungelink na hilo bandiko la awali la kupotelewa vyeti au ungefanya kurejea japo for three to four lines what happened.
Background ni muhimu katika uandishi!
Kweli aisee