Habari jf doctor,
Nimepatwa na tatizo la kuhara maji tangu jana usiku nineenda chooni zaidi ya mara saba, juzi kuna dawa za minyoo zentel nimekuwa nikitumia inabidi nimalize leo je naomba ushauri nini chanzo maana haijawahi tokea niaharishe mfululizo kiasi hiki pia tumbo kuuma kwa upanda wa chini.