Sisahau inzi waliposababisha nikahangaikia matibabu sana nikidhani minyoo!

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,356
1,437
Kuna aina mbalimbali za inzi (yawezekana hata mimi na wewe hatuwajui wengine).

Wengi wanamgwaya nzi wa kijani wakisema ni nzi wa chooni, anasambaza na kusababisha maradhi ya tumbo na kuhara mfano kipindupindu kuhara na kuhara damu.

Sasa kuna nzi mwingine tofauti na huyo wa kijani; yeye yupo na rangi ya kupauka fulani hivi. Kama unafahamu mbegu ya alizeti ile yenye michirizi ya kijivu kwa mbali na nyeusi basi huyo nzi ni kama vile.

Basi enzi hizo najisaidia sana porini siku moja nikakata gogo kubwa kama kawaida washangiliaji wakajaa nikaona udhia ikabidi niwapishe nikasogea pembeni nikawa nakata kagogo kengine kadogo.

Sasa nilikuwa na tabia ya kuchukua muda mrefu katika hiyo shughuli basi kama ujuavyo tena mara ubagaze mara uchunguze hiki mara kile.

Hamadi! Kushtuka nashangaa gogo ile kubwa imejawa na viumbe funza wadogowadogo wengi sana

Nikashtuka sana nikiwaza huko tumboni kukoje basi nikacheki hapa nilipo napo vipi nikawa sijaona kitu.

Nikawaza na kuwazua nikaonelea nisogee kando nichunguze vizuri basi nikaona gogo zote mbili zina wale funza tena wanachomokea kutoka mule ndani.

Basi nikawa mnyonge sana nikaondoka siku ya pili tena vilevile. Nikawianisha na hali nilizonazo mwilini naona sielewi ikabidi nivunje ukimya. Nikamwambia mzee kuwa nikijisaidia naona minyoo wadogo kwenye kinyesi

Mzee akauliza maswali kadhaa kujiridhisha basi nikamwambia sisikii shida yoyote tumboni nk nk. Mzee akanipa dawa akasema nitumie halafu nicheki tena kama nitawaona. Basi kesho porini nikawaona tena vile vile wanaizunguka ile gogo kwakasi

Nikamwambia mzee mrejesho ule mzee akavurugwa sana (kipindi kile hakuwa vizuri mfukoni wala hakukuwa na maswala ya bima).

Basi akaenda kwa nani huko sijui akamwelezea tatizo hilo akapewa dawa fulani ya kutumia nikatumia ngoma iko vilevile. Mara mzee akapata vichenji akaenda duka la dawa kunichukulia dawa fulani nikanywa bado mambo iko palepale

Mwishoni mzee akaenda kwa nani sijui huko akapewa dawa fulani ya kienyeji (wanaita za kisuna) akaambiwa hiyo ndiyo kiboko basi nikaanza kutumia siku ya kwanza ya pili naulizwa maendeleo ikabidi nidanganye sijachunguza

Baada ya hapo nikafikiria nikapata wazo jipya la kuchunguza zaidi. Nikaenda chaka kama kawaida kukata gogo kisha nikakaa kando kutaka kujua kwanini wale minyoo wanatokea muda wa mbele kidogo baada ya mimi kukata gogo tena wanaonekana kutoka ndani ya kinyesi

Nikawa najiuliza inamaana wamejihifadhi kwenye kinyesi? Huko ndani wamejihifadhi kwenye nini.

Basi mara naangalia vizuri naona hayo manzi makubwa makubwa yanakunya vitu juu ya kinyesi mara chap chap vitu vile vinaanza kutembea juu ya kinyesi

Basi nilishangaa sana ikabidi nichunguze zaidi nikagundua kuwa wale inzi ndio wanakunya ile minyoo. Sasa ajabu ni kwamba nzi yule alipandwa palepale na palepale akanya vifunza hivyo vingi sana kila anavyodanda huku na huko (nilimfuatilia alikuwa anakunya kamojakamoja nilihesabu moves zake mpaka nikachoka)

Basi kufika nyumbani nikamwambia mzee hali imepungua akafurahi akakazia kuwa nimalize dawa basi nikajikaza kunywa huku nikiendelea kuchunguza kinyesi changu niwapo porini mpaka nilipojiridhisha siku hiyo nyumbani (ambapo kuna nzi wa chooni tu hakuna wale inzi wengine wanaokunya minyoo)

Nilijisaidia kando kusudi chooni kisha nikaanza kuangalia sikuona mnyoo wala funza halafu hapohapo nikasafisha nikaenda porini nikajisaidia mara wazee wazima haoooo basi nikajua kumbe yaliyomo yamo

Nilikasirika sana na nikaogopa (pamoja na kuona aibu) kumwambia mzee ile movi ikabidi nimwambie tu kwamba dawa ya kisuna imenisaidia nimepona. Siku ngapi mbele kwenye stori na masela nikachomekeza ishu ya inzi kunya vifunza wadau (wa kunya vichakani) wakaprove ni kawaida sana nzi hao kufanya hivyo dah!

Nilishukuru Mungu lakini sitakuja kusahau ile kitu. Niwaase tu chunguzeni mambo vizuri kabla ya kuchukua hatua wandugu. Pia naomba wachunguzi wa mambo mniambie kuhusu wale nzi inakuwaje wanafanya vile?
 
Je umwana sayansi hasa mambo ya tafiti? Hatua kama hizo ulizofanya, wavumbuzi wa mambo mbalimbali wamepitia.
 
Msimlaumu mtoa mada kuacha choo nyumbani kwenda porini

Kunya porini kuna raha yake

Na mtoa mada kuna nzi wengine wakitua kwenye ngozi yako au jicho wanamuachia yai ambalo linakuwa minyoo
 
Hili nalo fundisho asee ndiyo maana wakasema fikiri kabla ya kutenda
Ona sasa Mzee wako alitupa gharama kibao ili upone Kumbe hamna kitu hakuna tatizo, si Bora hizo hela angenunua Mazaga mengine ili uendelee kunya....,
 
Kuna aina mbalimbali za inzi (yawezekana hata mimi na wewe hatuwajui wengine).

Wengi wanamgwaya nzi wa kijani wakisema ni nzi wa chooni, anasambaza na kusababisha maradhi ya tumbo na kuhara mfano kipindupindu kuhara na kuhara damu.

Sasa kuna nzi mwingine tofauti na huyo wa kijani; yeye yupo na rangi ya kupauka fulani hivi. Kama unafahamu mbegu ya alizeti ile yenye michirizi ya kijivu kwa mbali na nyeusi basi huyo nzi ni kama vile.

Basi enzi hizo najisaidia sana porini siku moja nikakata gogo kubwa kama kawaida washangiliaji wakajaa nikaona udhia ikabidi niwapishe nikasogea pembeni nikawa nakata kagogo kengine kadogo.

Sasa nilikuwa na tabia ya kuchukua muda mrefu katika hiyo shughuli basi kama ujuavyo tena mara ubagaze mara uchunguze hiki mara kile.

Hamadi! Kushtuka nashangaa gogo ile kubwa imejawa na viumbe funza wadogowadogo wengi sana

Nikashtuka sana nikiwaza huko tumboni kukoje basi nikacheki hapa nilipo napo vipi nikawa sijaona kitu.

Nikawaza na kuwazua nikaonelea nisogee kando nichunguze vizuri basi nikaona gogo zote mbili zina wale funza tena wanachomokea kutoka mule ndani.

Basi nikawa mnyonge sana nikaondoka siku ya pili tena vilevile. Nikawianisha na hali nilizonazo mwilini naona sielewi ikabidi nivunje ukimya. Nikamwambia mzee kuwa nikijisaidia naona minyoo wadogo kwenye kinyesi

Mzee akauliza maswali kadhaa kujiridhisha basi nikamwambia sisikii shida yoyote tumboni nk nk. Mzee akanipa dawa akasema nitumie halafu nicheki tena kama nitawaona. Basi kesho porini nikawaona tena vile vile wanaizunguka ile gogo kwakasi

Nikamwambia mzee mrejesho ule mzee akavurugwa sana (kipindi kile hakuwa vizuri mfukoni wala hakukuwa na maswala ya bima).

Basi akaenda kwa nani huko sijui akamwelezea tatizo hilo akapewa dawa fulani ya kutumia nikatumia ngoma iko vilevile. Mara mzee akapata vichenji akaenda duka la dawa kunichukulia dawa fulani nikanywa bado mambo iko palepale

Mwishoni mzee akaenda kwa nani sijui huko akapewa dawa fulani ya kienyeji (wanaita za kisuna) akaambiwa hiyo ndiyo kiboko basi nikaanza kutumia siku ya kwanza ya pili naulizwa maendeleo ikabidi nidanganye sijachunguza

Baada ya hapo nikafikiria nikapata wazo jipya la kuchunguza zaidi. Nikaenda chaka kama kawaida kukata gogo kisha nikakaa kando kutaka kujua kwanini wale minyoo wanatokea muda wa mbele kidogo baada ya mimi kukata gogo tena wanaonekana kutoka ndani ya kinyesi

Nikawa najiuliza inamaana wamejihifadhi kwenye kinyesi? Huko ndani wamejihifadhi kwenye nini.

Basi mara naangalia vizuri naona hayo manzi makubwa makubwa yanakunya vitu juu ya kinyesi mara chap chap vitu vile vinaanza kutembea juu ya kinyesi

Basi nilishangaa sana ikabidi nichunguze zaidi nikagundua kuwa wale inzi ndio wanakunya ile minyoo. Sasa ajabu ni kwamba nzi yule alipandwa palepale na palepale akanya vifunza hivyo vingi sana kila anavyodanda huku na huko (nilimfuatilia alikuwa anakunya kamojakamoja nilihesabu moves zake mpaka nikachoka)

Basi kufika nyumbani nikamwambia mzee hali imepungua akafurahi akakazia kuwa nimalize dawa basi nikajikaza kunywa huku nikiendelea kuchunguza kinyesi changu niwapo porini mpaka nilipojiridhisha siku hiyo nyumbani (ambapo kuna nzi wa chooni tu hakuna wale inzi wengine wanaokunya minyoo)

Nilijisaidia kando kusudi chooni kisha nikaanza kuangalia sikuona mnyoo wala funza halafu hapohapo nikasafisha nikaenda porini nikajisaidia mara wazee wazima haoooo basi nikajua kumbe yaliyomo yamo

Nilikasirika sana na nikaogopa (pamoja na kuona aibu) kumwambia mzee ile movi ikabidi nimwambie tu kwamba dawa ya kisuna imenisaidia nimepona. Siku ngapi mbele kwenye stori na masela nikachomekeza ishu ya inzi kunya vifunza wadau (wa kunya vichakani) wakaprove ni kawaida sana nzi hao kufanya hivyo dah!

Nilishukuru Mungu lakini sitakuja kusahau ile kitu. Niwaase tu chunguzeni mambo vizuri kabla ya kuchukua hatua wandugu. Pia naomba wachunguzi wa mambo mniambie kuhusu wale nzi inakuwaje wanafanya vile?
Chimba choo usipende kuchafua mazingira kama Ng'ombe asiye na akili
 
Back
Top Bottom