Yani ni bonge moja la akili. Dogo anatakiwa ajue kujitaftia kibiashara akiwa youngster tu ili kuondokana na fedhea za huko baadae.Ila watu wanalogaa makazini we acha tuu
Inabidi kuwaandaa watoto wetu kisaikoloji, aanze biashara hata ya kuuza pipi at very primary young age ili aondokane na aibu za raia
Msomi hataki kuuza maji au mitumba kisa watu watamwona eti ( wasomi wenzie) wote wanabanana maofisini kwenye ac aiseee hata kama ni kwa volunteering kwa miaka be [emoji848][emoji848]
Kuwa Chuo Cha kilimo haimaanishi kinatoa kozi za Kilimo tuu, pale Kuna kozi za kisayansi nyingi Sana Tafadhali usikariri Elewa boss Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA)Umeenda SUA kusoma IT ya Kushika majembe[emoji3]
Masikini[emoji26]Kuna jamaa yangu alijitolea kwenye kampuni miaka kibao wanakuja watu anawafundisha kazi baada muda wanaajiliwa yy Bado anapewa nauli kaona Bora aache
Kweli mkuu...msomi hataki kabisa biashara za aibuu, anataka kujificha ofisini tu, hata kama anatumwa tumwa tu bila mpango[emoji848]Yani ni bonge moja la akili. Dogo anatakiwa ajue kujitaftia kibiashara akiwa youngster tu ili kuondokana na fedhea za huko baadae.
Ule ujinga eti mtoto akijua hela atakataa shule ni wa kuukataa vikali. Mtoto akijua hela ndio vizuri na rahisi kumfundisha money management haraka sana.
Kizazi chetu tunateketea kwa kuona aibu kwakuwa ni fedhea kweli umesoma halafu huna hela. Unataabika mtaani yani q
ehh huyo sasa si bora unipigie mie panda nimuoe nimpe mtaji ata auze uji wa ulezi na biriani friday.Masikini[emoji26]
Hata classmate wangu ananya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
4 yrs Internship? Thats so distressing yani miaka 4 yeye kuwa hajajua kazi ama? Wanamu abuse tuMasikini[emoji26]
Hata classmate wangu ananya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
Yeah ndio ile mtu yuko radhi akale 2OOk Mlimani City ila sio business ya mtaani ambayo ata earn moreKweli mkuu...msomi hataki kabisa biashara za aibuu, anataka kujificha ofisini tu, hata kama anatumwa tumwa tu bila mpango[emoji848]
Mentality imekuwa ruined kabisa kwa hiki kizazi cha kisomi
business ipi hiyo ya laki mbili mzeya unipe mchongo?Yeah ndio ile mtu yuko radhi akale 2OOk Mlimani City ila sio business ya mtaani ambayo ata earn more
Atoke hapo kama cv kashamaliza kuijazaMasikini[emoji26]
Hata classmate wangu ananya internship crdb mnazi mmoja miaka minne buuure hajaajiriwa mpaka kesho, sikilizia hizo stress zake sasa[emoji848]
Hio posho ya mwezi Mlimani citybusiness ipi hiyo ya laki mbili mzeya unipe mchongo?
posho sijakuelewa mkuuHio posho ya mwezi Mlimani city
Bora useme wee mwenzangu, maana tukisema sie wengine, tutaonekana hamnazoGraduates achaneni na hizi mambo za kujitolea hawa jamaa mnawapa cheap labour ya bure eti cheap nakosea namaanisha free labour wana kazi ya kuwabadilisha tu
Halafu cha kushangaza anakuja ajiriwa mtu hajawahi kujitolea
Kuwa mhudumu mlimani city unaweza kula kati ya 15O-2OOk!posho sijakuelewa mkuu
Nasisitiza ni upumbavu na ujinga kujitolea.Kwa mtu ambaye anachukia kuajiriwa ukimwambia masuala ya kujitolea ndio anaweza kukupiga makofi.
Mimi sikushauri ujitolee. Fanya mambo mengine.
Bongo kujitolea ni kujidhalilisha tuu