sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 572
Nilimwona kuku wangu akichechemea kwa mguu mmoja na kuonekana mnyonge. Juzi nimeamua kumchinja ili kubaini kama ana ugonjwa ndani ya tumbo.
Sikubaini ugonjwa, lakini nilipopasua firigisi nikakuta sarafu ya 100 mpya na cheni ya dhahabu. Sifahamu ni sehemu gani alipata vitu hivyo kutokana na kuwaachia wajitafutie na huwa wanapenda kufuatana kuku kumi.
Je, kuna maana yoyote kukuta vitu hivi?