Nimepata nafasi ya kwenda Ufaransa

Nimepata nafasi ya kwenda Ufaransa

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
68
Reaction score
51
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

kuhusu mimi

Mimi ni software Engineer ambae pia huw nina participate kwenye global hackathons Mwezi Jauary nimeshiriki kwenye hackathon amabapo team yangu imekuwa miongoni mwa team 3 zilizo chaguliwa kweye fainalist

kuhusu safari

Hii itakuwa event ya siku moja amabapo lengo kuu ni ku network lakini pia ku pitch projects zetu itakuwa tareh 21 march.

Jana nimefika Dar nimeanza kushughulikia pass ambapo nimeambiwa nirejee tarehe 14 (naona kama inachukua muda mrefu) lakini pia nataka kujua kutoka kwenu hivi kuomba visa iaweza chukua muda gan?

Vipi kuhusu bank ipi bank mnani suggest nifungue kwa ajili ya ku deposit pesa ya matumiziiii

Naombeni ushauri wenu na uzoefu juu ya hayo maswala visa bank and pass.
 
Wamekwambia urejee baada ya siku 14? Means usha submit document?

Anyway,

Normally France Embassy miaka ya nyuma walikuwa wanahudumia 12 ppo per day, na hakukuwaga na purukushani.

-Visa i remember ilikuwa Friday to Friday
-Bank statement kama gharama za usafiri na malazi ni juu yako unless barua iwe ime state kwamba waliokualika watasimamia show na watakupa infos za utakapofikia, health insurance

Unless other wise saka
-Health Insurance
-Adress ya utakapofikia( Hotel Booking)
Zama Booking.com book ile ya 72hrs cancel chukua doc peleka
-Ticket booking ( same na hiyo ya juu)

Ni hayo tuu

Bonne chance frére.
 
Ahsantee mkuu Nimepata pakuanzia kuhus pass ndio tyr nimewakilisha zote zinazohitajika Kuhusu health insrnce inabidi niandae km $$ ngapi ? na je kuna njia ya kulupia hio insrance au una safri na cash??
 
Sawa,Unakata Insurance kwenye websites za insurance,ziko kampuni za hizo insurance
 
Back
Top Bottom