geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
mi ninaye kanizid mwaka mi ninayo 18
hili huwa silielewagi vizur nieleweshe ndugu
Nini usichoelewa?
Hebu weka pic tulnganshe hapa
Miss you sanaaaaa!!!
Na nmeadmika kweli humu. Miss you more kpenz. Mzma wewe??
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi
Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.
Ila tunapendana drop your comments please.
tofauti ya miaka costant iwe ip
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi
Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.
Ila tunapendana drop your comments please.
Mtizamo wangu; mke awe mdogo kwa mumewe, coz hata Adam aliumbwa kabla ya Hawa. Miili yenu inazeeka haraka..sasa imagine wewe umzidi mme wako miaka mitano, ukifika hamsini mume bado mbichi kabisa...
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi
Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29.
Ila tunapendana drop your comments please.
mi ninaye kanizid mwaka mi ninayo 18