Nimepata mwanamke aliyenizidi umri

Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
baada ya miaka 10, utaonekana kana kwamba una miaka 50. Kwani kwenye mahusiano watu hufanana na mke wa miaka 40 anafanana na mme wa miaka 50.
 
Tofauti ya miaka minne huioni kwa sasa coz wote wabichi. Subiri akiwa 39 kwa 35, subiri akiwa 49 kwa 45.

Age is nothing but a number...we mwache yule aloimba,Sijui #Aaliya au nani, ni kwa vile nae alikuwa amependa.

Shurti umzidi mdada miaka kadhaa, lets say wewe ndo umzidi miaka minne. Hawa wapendwa wetu wanazeeka haraka...

Shaurilo.
 
Age ni number tuu, we mpende tuu cha msingi kuheshimiana na kupendana tuu.

Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
 
Hata kama amenizidi miaka 20,tukipendana na akiniheshimu haina shida...
 
Tofauti ya miaka minne huioni kwa sasa coz wote wabichi. Subiri akiwa 39 kwa 35, subiri akiwa 49 kwa 45.

Age is nothing but a number...we mwache yule aloimba,Sijui #Aaliya au nani, ni kwa vile nae alikuwa amependa.

Shurti umzidi mdada miaka kadhaa, lets say wewe ndo umzidi miaka minne. Hawa wapendwa wetu wanazeeka haraka...

Shaurilo.

hili huwa silielewagi vizur nieleweshe ndugu
 
The number behind the player's jersey is nothing BT his role on the pitch!!!
 
Vijana wa umri huu (20-28)...ndiyo mnaongoza kwa kuweka post za mapenzi humu..but at that age u suppose to be out of adolesence period..
umri ni kigezo kidogo sana kwenye relationshp!

Ahhhhh mkuu acha iz sasa ww ulitaka wazee ndo waweke post kiukwel hatutawaelewa mamb kama haya waachieni vjna bnana 20-35 up tu apo wazee
 
Kubwa la kuzingatia ni upendo wa dhati baina yenu hayo mengine hayana nafasi kabisaaaaa
 
Kumbe hiyo we ----- kwel mm nimekula limama limenizid miaka kama 22 na mpaka kesho nala v2 vyangu tu
 
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
Kwani wewe kigezo chako cha umri kilisemaje kwenye katiba ya zamani?
 
Kigezo cha umri sio cha kudharau hata kidogo, usije kuanza kuchepuka tu ukiona mwili wake unaanza baridi, huku ukikumbuka lile joto la zamani...
 
Aisee asikwambie mtu umri unamata sana wewe na yeye wote ni banadamu hamuwezi kuishi bila kugombana ipo siku tu swala la umenizidi ndo maana hivi, mara ooohhh vitoto vingine bana ndo maana nilikuwa sitaki kuolewa na wewe nk kiukweli (talking through) experience SIKUSHAURI KABISA Ndugu pia wapo watasema mwanamke mkubwa take it from me......
 
Kigezo cha umri sio cha kudharau hata kidogo, usije kuanza kuchepuka tu ukiona mwili wake unaanza baridi, huku ukikumbuka lile joto la zamani...

Tena si kidogo Mwanamke akishazaa watoto wawili watatu hivi ndo ataona maana ya umri si wa kudharau hata kidogo unless huyo Mwanamke ni wa kuhit and run lakini kama Mke 'NO WAY'
 
Back
Top Bottom