nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
hongera,,,Kilichopangwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe...ulimkwepa lakini bado Mungu akakurudishia yuleyule..alikuwa wako huyo,,usisahau kuomba kila iitwapo leo

hapo utagongwa na kuachwa tena...
ulimpa papuchi mwaka juziakaigonga ,..mkachokana kila mtu akatembea kivyake ..leo tena mmekutana mnataka kusuguana na kuoana..sikukatishi tamaa na nakuombea ili hilo pepo lililoacha mkatengana lishindwe na lisirudi tena na tena