Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Pole sana Mamndenyi Mungu awatangulie jamani ingekuwa weekend ningekuja kukupa kampanySalaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.
Sawa madame....Poleni sana!Asanteni sana. kesho saa saba ndio tutazika.
Salaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.
Asanteni sana tulizika na sasa tumesharejea mahali petu pa kazi. Asanteni nawapenda wana jf wote.
mnazikia wapi ?poleni sanaAsanteni sana. kesho saa saba ndio tutazika.