Nimepata mpenzi JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemvua nguo hadharani bila chembe ya moyo wenye huruma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa juzijuzi hawa ndo wanaaribu jukwaa langu pendwa
 
Hahaha. .aise ..nilikuwaga napata tabu ..kungonoka napenda lakini shida sasa nikimaliza Tendo tu ..lazima nimeze panadol maana kichwa kinauma hatari
umepona sasa mkuu??
 
Sasa wewe hujawahi kudo umejuaje kuwa kakupa ushirikiano mzuri sana?
 
Nakwaambia hivi mtaachana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…