Nimepata mpenzi Jf

Ndio maana hutakiwi kuweka mahusiano yako public wahenga wanamaana [emoji28][emoji28][emoji28]ona sasa huyo alipotokea kuwatilia nuksi wenzake eti “mtaachana tu”[emoji1787]
Hahahhaa mambo ya insta wanaleta huku
 
Brenda asante mamy, nimelichukuwa kama lililo
 
Elewa kwamba Shetani hana uwezo wa kumuingia Mwanaume bila kupitia kwa Mwanamke,
Ndo maana tunasema kusingekua na wanawake Duniani basi wanaume wote tungeenda Peponi

KAMA HUTAKI KUELEWA BASI
Ngoja nilazimishe kuelewa
 
Eee sitaki mambo ya blaa nataka nae awe na amani [emoji23][emoji23][emoji23]
Changamsha genge tu najua sio wangu maana majina yanayoanzia na G ni mengiiii halaf G sio la humu la humu anaanzia M

M [emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…