Nimepata mfadhili wa kunilipia masters naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepata mfadhili wa kunilipia masters naomba ushauri

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mopalmo, Oct 25, 2011.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana jf nimepata mfadhili wa kunilipia masters degree,mi nimemaliza advance diploma in accountancy pale TIA,ningependa kusome MBA ya finance,accounts au marketing,naomba ushauri ni chuo gan ambacho naweza kujiunga kwa mwaka huu najua nimechelewa ila ndio mfadhili nimempata,naomba ikiwezekana mnijulishe na ada husika.
   
Loading...