sasa huoni kama anataka kukuibia ??Bodaboda anasema hajawahi kupanda na huko aliko ziko mbali ila ana namba za taxi dreva tu
Ww unatumia kigezo kipi kujua kuwa mlokole...au ndo hzo picha mnazotumiana???Nimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl