Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,044
- 1,794
Ndugu wanajukwaa nimehitimu chuo miaka 3 imepita ila ajira ilikuwa ngumu kupata nikaamua kuja kuongeza elimu. Kuna kampuni ilinifanyia usaili kabla ya kuja chuoni . Sasa wamenipigia simu wananihitaji ila kwa sasa niko chuoni. Naombeni ushauri niendelee na masomo au niende kazini?