ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Hatimaye nimekutana nae duniani baada ya kumpata mtandao.Huwa najiuliza, ni baada ya unaemtafuta kumkosa shule, chuo, kazini, mtaani, kanisani au msikitini, ndio unakuja kumpata mitandaoni au huwa Hamupiti huko munakuja moja kwa moja mitandaoni. Kama jibu ni hili la pili, basi mnajiamini na mnahitaji hongera.
Sina 7b ya kudanganya umaHongera.....kaa mtunzane sasa hata kama unatudanganya....tunzaneni hivo hivo
Hahaha poa kakahaya ukatulie sasa na miaka yako hiyo 22 mdogo angu
Asante mkuuHongera
hahahaKama umeweza kutana nae mtandaoni na ukamzukia huko moshi, unajua ni wangapi, amechat nao humu na wako pia wamemzukia[emoji16][emoji16]
Umepoteza nauli kufuata papuchino mzee.
Anway tunasubiri nanyi 'Cc' zenu kama za smart na Mahounda
Kwa bahat nzuri bado tunasoma wote mim na yeyeNenda shule kasome achana na hii kitu mwanangu
HAhaHAhaHaha umetisha mkuu