Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Hongera sana
Hahahaaa...Hongera bibie!
Haina wivu hiyo..ku-share mwanzo mwisho ndo mpango mzima!!
Niliuona huo uzi ila sikutegemea awe serious kihivyo .....nilijua matani ya chit chat
Wakuu wana Chit Chat,jana nilikuja hapa nikitafuta wa kujivinjari naye.
Nashukuru kwa wote walio respond kwa PM.
Nimempata tayari,hivyo PM kwa ajili ya suala hilo zinatosha.
Wasalaam!
St Paka Mweusi yuko wapi?
Naona kama anahusika hapa.