Nimepata funzo kubwa sana

Umeanza kukojoa kitandani amka ww
 
nani aliyekwambia tunatoka nje kwa sababu hatuwapendi wake zetu?
 
“Ukiona unaanza kumpenda mkeo pekee ujue umekaribia kufa”. Sijui nani alisema.

Uchungu aone mwingine halafu mateso upate wewe, usipochepuka anachepuka yeye.... shubamit zako.
 
Utasahau tu, na utacheat tu tena na tena. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Anyway. Unafikiri hatujui kuwa Wamama wanapitia magumu?.

Kwangu mimi Hiyo sio sababu ya kucheat au kutocheat.

Kucheat Ni tabia.
 
Inaonekana kwasasa wewe bado ni Mvulana, umri ukifika na ukawa Mwanaume utakuwa na mtazamo uliokomaa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said brother. Kubdl negativity inawezekn. Sema tu wabongo ustaarabu swala gumu
 
Reactions: THT
Hiyo ni shock tu mzee. Sababu itayokufanya usiluke nje ya ndoa ni mahusiano mazuri na Mungu, hiyo nyingine unajidanganya.

Kumbuka hili neno, baada ya muda utasahau utamkolomea kama kawaida, utakula mzigo nje kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah.....
Ndo maana ake,

BINAFSI nampenda Sana Mama watoto wangu.

Ila mechi za ugenini nacheza mara kwa mara.

Na hajawahi Hata kunistukia, ila Hata ikitokea kanifumania.

Ntambembeleza na kuomba msamaha Sana, ili mradi tu tusiachane.

WANAUME TUMEUMBIWA TAMAA.

Ni ngumu kushindana na NATURE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…