Nimepata funzo kubwa sana

Hawatakuelewa watakubeza sana. Lakini ww fanya kwa wema ili uje kupata thawabu yako mbele za Mungu
 

[emoji115][emoji115][emoji115]Mtoa mada kubali kataa, ila usiombe yakukute!

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
ahahaha vijana wengi wanalishwa siku hizi.
 
Unamwaka wa ngapi mkuu kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kulitambua hilo mkuu...Kuna watu wamejazana hapa kuwalisha wenzao sumu, achana nao.
 
toka nimuoe sijamsaliti and so naendelea kutunza agano langu
Ngoja mmalize honeymoon yenu hiyo ya ndoa, halafu ndio utakuja kujua kwanini taasis ya ndoa kinaanza cheti mitihani baadae
Miaka 3 michache kuendelea kutumikia kiapo chako
 
kuna yule aliyekula mtoto kimasihara wakisafirisha mwili wakiwa njian, wakati wa kuzika anaweza mdinyo tu.
Ukienda msibani halafu ukasikia marehemu amekufa kwa ngoma utajiapiza kuwa hutofanya uzinzi tena. Ila binadamu tumeumbiwa kusahau, siku 3 tu nyingi unasahau viapo vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeoa single mother, fala sana wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…