Nimepata funzo kubwa sana

Wanawake wanakwambia, akishageuzia mgongo tu ile wodi ya kinamama yaani lebor ward, tayari anakuwa anatamani kuzaa tena. Means anasahau mateso yote.

Hivo ndivyo muumba alivyowaumba.

Sasa wewe kiherehere chako kwenda kuchungulia huko sijui unataka uvumbue nini wakati wanawake hawana huo uchuro..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jukumu mmejipa wenyewe plus na utandawazi ..dunia inaenda kasi hicho kitu ni unkwepabo

Still bado nasisitiza hayo ni maumbile yenu jinsi mlivyoumbwa sioni sababu ya kuifanya big deal sana maana kweli mnatafuta ila tunao hustle sana ni sisi na hatujawahi jionea huruma
Siku hizi ata wanawake wanatafuta kwa jasho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo jema sana kuacha usaliti.

Jiweke karibu sana na Mungu maana shetani anakesha kuona hutimizi mema uliyojiwekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

ukitaka kujiua au kufa mapema waonee huruma wanawake...bro vip ukiambiwa mtoto sio wako naushajenga fikra zahuruma pole kaka presha inakukaribia kabisa yani
 
Kesho tu unasahau mkuu.. Ila tuwaheshimu sana kina Mama.

Hawa wanaotukanaga single mothers hapa hawajapitia hizo experieces za uzazi.
Kila mmoja atajifunza kwa wakati wake.
 
Upendo na huruma vinatenganishwa na mstari mwembamba saaaanaa!
 
Na sio kama wachepukaji wanapenda, ngoja yakukute!

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…