Nimepata deal nyingine, nataka niuze stationery yangu

Afande Nyati

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,385
1,414
Wakuu nimepata mipango mingine, nina stationery iko Kigamboni katikati ya makazi ya wanachuo kama IFM, Mwalimu Nyerere, CBE na Institute of Adult Education wapo pamoja na raia wengine wengi tu.

Stationery ina Photocopy machine 1 kubwa IR 1022 ambayo inafanya printing, fax, copy na scan na ina duplicate, line 2 za tigo pesa na M pesa, mashine ya max malipo, meza moja kubwa, binding mashine, desktop computer 1, paper cutter na vitu vingine vidogo vidogo.

Biashara nimeshaianzisha na nina wateja wengi sana kiasi ya kwamba kwa mtaji wangu mdogo nina uwezo wa ku-save hata 500k kwa mwezi. Kwa hiyo kama una capital ya kutosha unaweza ku gain zaidi ya hapo.

Bei yake ni millioni 3 na nusu kwa kila kitu na nitakulipia kodi ya miezi 3. Na cha msingi nitakupa ushauri juu ya kuiendesha biashara kwa kuwa nina uzoefu nayo.

Ukiiona fursa, nitext 0783 746161.
 
Wakuu nimepata mipango mingine, nina stationery iko Kigamboni katikati ya makazi ya wanachuo kama IFM, Mwalimu Nyerer, CBE na Institute of Adult Educatio wapo pamoja na raia wengine wengi tu.

Stationery ina Photocopy machine 1 kubwa IR 1022 ambayo ina fanya printing, fax, copy na scan na ina duplicate, line 2 za tigo pesa na M pesa, mashine ya max malipo, meza moja kubwa, binding mashine, desktop computer 1, paper cutter na vitu vingine vidogo vidogo.

Biashara nimeshaianzisha na nina wateja wengi sana kiasi ya kwamba kwa mtaji wangu mdogo nina uwezo wa ku save hata 500k kwa mwezi. Kwa hiyo kama una capital ya kutosha unaweza ku gain zaidi ya hapo.

Bei yake ni millioni 3 na nusu kwa kila kitu na nitakulipia kodi ya miezi 3. Na cha msingi nitakupa ushauri juu ya kuiendesha biashara kwa kuwa nina uzoefu nayo.
Tutafutane na 0627911500 naishi kugamboni ila sipatikana kirahisi huko!
 
Kuna mtu mafanya nae mazungumzo alinifuata pm, nikishindwana nae nitarudi tena.
Za jioni mkuu? Nimeona post yako kuhusu uuzaji wa stationary yako maeneo ya kigamboni.. Niko very interested kaka..
 
Wakuu nimepata mipango mingine, nina stationery iko Kigamboni katikati ya makazi ya wanachuo kama IFM, Mwalimu Nyerere, CBE na Institute of Adult Education wapo pamoja na raia wengine wengi tu.

Stationery ina Photocopy machine 1 kubwa IR 1022 ambayo inafanya printing, fax, copy na scan na ina duplicate, line 2 za tigo pesa na M pesa, mashine ya max malipo, meza moja kubwa, binding mashine, desktop computer 1, paper cutter na vitu vingine vidogo vidogo.

Biashara nimeshaianzisha na nina wateja wengi sana kiasi ya kwamba kwa mtaji wangu mdogo nina uwezo wa ku-save hata 500k kwa mwezi. Kwa hiyo kama una capital ya kutosha unaweza ku gain zaidi ya hapo.

Bei yake ni millioni 3 na nusu kwa kila kitu na nitakulipia kodi ya miezi 3. Na cha msingi nitakupa ushauri juu ya kuiendesha biashara kwa kuwa nina uzoefu nayo.

Ukiiona fursa, nitext 0783 746161.
safi,,
naomba uni pm hiyo dili nyingine ulopata tusaidiane mawazo na leads
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom