GREAT INVESTOR
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 128
- 299
Watanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.Umeamua kuweka rehani maisha yako sababu ya kusafiri?
Hongera mkuu.
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?Watanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Kwani chanjo nyingine ziliingia nchini muda gani baada ya kutengenezwa? Tusiwe madalaliWatanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Hizo zingine zilikuja kwa uharaka na propaganda kama za hizi chanjo za sasa?? Ni haki yako kadungwe mie nitatulia bongo tu au nipate hako ka kadi ka mchongoWatanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?
Mbaya zaidi ni majaribio,,
Hilo ni tatizo kubwa sana.
Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni,
,,kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.
Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.
Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria,,
Especially chanjo ambayo haina uhakika.
Unaweza ukawa unfit milele.
Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua johnson and johnson(sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson and Johson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson and Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries
Mkuu kila mtu anasema lake kuhusu chanjo.Mkuu chanjwa tu ili watoto wapate chochote kitu maana hata ukikataa mbeleni huko hutaweza kupata huduma yoyote bila chanjo..na itakulazimu tu kuchanjwa yaani.. SHETANI YUPO KAZINI...
Nimesoma paragraph yako ya kwanza tu.. Nimejua wewe ni layman kwenye eneo hilo..Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?
Mbaya zaidi ni majaribio
Hilo ni tatizo kubwa sana.
Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni, kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.
Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.
Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria
Especially chanjo ambayo haina uhakika.
Unaweza ukawa unfit milele.
utakuta na wewe una degree etDalali lipo kazini kuwalaghai watu wakadungwe machanjo yenye sumu.
Unajifanya eti haujui spellings za chanjo!
Mburula kweli wewe!
Kadungwe wewe na mmeo, achana na watanzania!
Umeshageuzwa toi!Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
... inapatikana hospitali gani? Bei?Kwema wadau,