Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

Hiyo elfu 40 unayoitiwa ni zaidi ya unayopata sasa? Mbona wanakulipa pesa ndogo mno, hata beki tatu anachukua zaidi yako.
 
Anafanya Kazi ili apate hela,ajitose kwenye Kazi mpya!!
Nimeona ameandika 40k alimaanisha analipwa elfu arobaini?
Yap ita kuwa 40k kwa siku, ila mabosi wame mkalia kimya kuhusu posho. Ghafla deal mpya Ina kuja.

Nahifia usije kuwa mtego aka poteza deal hili la zamani
 
Back
Top Bottom