Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

kaisar19

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2021
Posts
228
Reaction score
391
Habari wakuu
Naomba ushauri na mwongozo

Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa sipokei hata thumni mambosi awapokei cm zangu hawasemi shida nini mimi

Nafanya majukum yangu kama kawaida. Changamoto ramadhan ndo hiyooo ipo kileleni sina maandalizi yoyote ya sikukuu kwa familia yanguu leo nimepokea maombi ya kampuni flani kuwa wanataka huduma yangu niachane na hii kampuni mshahara wa kuanzia ni 40k allowance kila wiki ni 5k nifanye maamuzi gani. 🙏🙏🙏
 
Nenda sawa na madereva
 
Fanya maamuzi fulani..
 
Kwani umeolewa hapo,mda hauridi nyuma, waambie warejee makubaliano ya awali wakupe allowance zako hawataki waambie unaondoka nenda kampuni ingine hio
 
Kwa huu mwandiko hata ningekuwa mimi nsingekupa hiyo posho yako.
 
Back
Top Bottom