Uko sahihi Kuna local na classic Hennessy hizo za 80 ndizo zinauza Sana kwenye supper maket ila hizo za 200k na kuendelea Ni pure na zinauzwa Sana maeneo ya viwanja ambako watu hawajiuliz Sana kuhusu beiKibongobongo wengi wanapiga hizo cognac za bei za kawaida za 35,75,80 ukumbuke cognac whisky nyingi bei za ulaya tofauti na kwetu na hata ladha hua kama zinatofautiana, tungepata watu wa ukanda wa baridi kama Russia tuwaulize ladha ya vodka kama ni sawa au vipi?
Watakumalizia kila kitu chako haoHahahhahah kwann jamani
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Na watu wanaagiza bucket ya hennessy.zinakuja hapo 12 au 6..
Halafu januari nianzee vibaya eeeh basi ntabeba only 500k tu.Watakumalizia kila kitu chako hao
Na watu wanaagiza bucket ya hennessy.zinakuja hapo 12 au 6..
Yes. Nilikanunua dukani mwenzangu nikamtumia mtu kazawadi. Kwetu uchaggani zawadi ya pombe kwa Mzee ni kitu cha heshma sana[emoji23][emoji23] mliman city nilikuta kwa elf 23. Ukienda kama huko sasa ushuani ndo hizo bei za kuwagonga wa masaki na waliovuna mazao mkoa[emoji23][emoji23]Inawezekana maana kwenye vilabu wanavojifanya wako classy wanabutua bei, ndio maana tukichalala unafuata mizigo kwenye maduka ya jumlajumla unatia ndani unatulia kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2021 Goals ni kwenda Kidimbwi na Kunywa Henesi.
[emoji23][emoji23] nikukumbushe tu, hata sisi wakopesha kwa riba hatutaki kukopesha maana tutaua urafiki na peaa tutapotezaHalafu januari nianzee vibaya eeeh basi ntabeba only 500k tu.
Mimi najua wanne ninaosoma nao wanaenda uko atleast wiki 3 kati ya 4 za mwezi. Ile miezi hakuna test wala UE wanaenda hata twice per week. Niko tiyari kubeti mkono kama hawajiuzi kule ukatwe.Kuna mtu anabisha hakuna wauzaji eti. Yaan sehemu iwe hot hivyo ikose wauzaji? Masikhara kweli haya. Cha kufahamu si wote wauzaji ila wauzaji wapo tena wasomi wazuri tu kwa mbinu tofauti. Wako naowajua walisoma chuo nilichosoma ndo mitaa yao. Wanahama na upepo panapohit.
Mwambie kuna na toroli pia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio. Ninkweli kabisa. Mtu sijui anabishaje wakati tunawaona. Na tunawajua. Mtu hana kazi wala kwao hawana hela unamwona anazunguka mara leo Arusha mara kesho mwanza mar wapi... na wanajiuza kwa vigogo balaa. UKIMWI hauishi leo wala kesho.Mimi najua wanne ninaosoma nao wanaenda uko atleast wiki 3 kati ya 4 za mwezi. Ile miezi hakuna test wala UE wanaenda hata twice per week. Niko tiyari kubeti mkono kama hawajiuzi kule ukatwe.
Ndio maana nikakubaliana na utafiti wa Dr. Wansegamila kuwa wanachuo hawajiuzi direct wala mitandaoni. Ni kwa mbinu kama hizi ikiwa mtandaoni ni Instagram atapost mitego utamfata DM. Sio eti umkute barabarani au badoo.
Hapo unaambiwa Aint no party na bado ni 1.3 mil[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Acha kabisa , kuna club inaitwa Maison iko Seacliff ... angalia bei zao ..na watu wanakula maji kama kawaidaa ! Bongo hii usiseme "vyuma vimekaza" sema MIMI sina hela!!
View attachment 1661589
Duuhhh!! Aisee, basi inaonekana mabinti wa chuo kikuu wanatumia mbinu sana kujiuza na sio direct kama ulivyosema (kulinda reputation zao).Mimi najua wanne ninaosoma nao wanaenda uko atleast wiki 3 kati ya 4 za mwezi. Ile miezi hakuna test wala UE wanaenda hata twice per week. Niko tiyari kubeti mkono kama hawajiuzi kule ukatwe.
Ndio maana nikakubaliana na utafiti wa Dr. Wansegamila kuwa wanachuo hawajiuzi direct wala mitandaoni. Ni kwa mbinu kama hizi ikiwa mtandaoni ni Instagram atapost mitego utamfata DM. Sio eti umkute barabarani au badoo.
Mimi simo kabisaaaaa.Na wewe hahah
Ndio. Ninkweli kabisa. Mtu sijui anabishaje wakati tunawaona. Na tunawajua. Mtu hana kazi wala kwao hawana hela unamwona anazunguka mara leo Arusha mara kesho mwanza mar wapi... na wanajiuza kwa vigogo balaa. UKIMWI hauishi leo wala kesho.