Nimepangiwa kinondoni, Lakini najuta... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepangiwa kinondoni, Lakini najuta...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ZeTicha, Jan 24, 2012.

 1. Z

  ZeTicha Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wanasema kuna kata nyngne zpo wilaya ya kinondoni lakn n ngumu kufikika kirahisi, nisaidie n kata gani naweza kuwa karibu na magomeni.
  Nb:-kw wenye moyo wa kusaidia tu.
   
 2. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu mm nipo ilala, dah kwa Kino changamka uwekwe hata mugabe pale
   
 3. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  omba wakupeleke Buju au Mabwepande.
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kipi kikujutishacho mkuu!! 2po pamoja mkuu na mimi ni huko huko so nadhani 2naweza onana hata ktk kituo ki1.
   
 5. Z

  ZeTicha Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu itabd nishughulikie mugambe,
  kanchi unapatkana wapi wewe?
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa nipo singida mkuu, vp we upo wapi pia!
   
 7. Z

  ZeTicha Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu itabd ukiwepo dar tutafutane, mie napatikana magomen
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Poa zeticha! pa1
   
Loading...