wakuu jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale mikumi, nilikua mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu nilishinda fight na nyati akatimua mbio
nyati ana muda wa kulizungukia gari anapiga gari na wewe upande iliopo utajua kumbe sasa nimekutana na mbogo...Simba na nguvu zake zoote hamuwezi wewe na 58kg umsumbue tena ujifiche katika Passo..