Nimeota Simba atashinda bao 3 bila

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,726
Reaction score
6,581
Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.

Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
 
Sawa ota tena leo labda utaota wamefunga 10.
Ndoto ni ndoto wewe ota tu
 
Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila.

Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo kisa mliwahi kuwafunga 5-1.
amka wewe kabla hujalowesha godoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…