uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,348
- 1,097
Nimeota ndoto ya No election no reform na G55.
Sina uchama ila ni mtu wa maombi na nilisikitika Sana kuona mpasuko ndani ya chama Cha chadema. Nilichoonyeshwa ni kama ifuatavyo
1. Walio nyuma na G 55 ni kaka mkubwa mstaafu ,wazee wa mfumo wa kijani . dhumuni ni kumpa kaka mkubwa nafasi serikalini . Msiposhiriki ataipataje hiyo nafasi
2. Chadema watashiriki huo uchaguzi na watapata ushindi katika viti vingi vya ubunge
3. Chama Cha kijani kuna vigogo wataingia cdm na kukipa nguvu si ya pole pole .
4. Vigogo wakubwa wa no reform watapitishwa pagumu . Lakini Dunia itasimama. Baadaye serikali nayo itapitishwa pagumu . Something like Karma
5. Mama atapita kwa zaidi ya 60% hivi na atafanya coalition ya kaka mkubwa.
6. Ccm Baadhi watashikwa na hasira ya coalition. Wengi vigogo watakuwa nje ya mfumo .
Soma Pia:
USHAURI : Ikiwezekana chadema kubalini kushiriki huu uchaguzi . G 55 wapo strategic , kichama na kibinafsi. Msiwapuuze. Hadi sasa serikali imewasikia n ujumbe wenu umefika zaidi ya maandamano . Mkuu wa nchi anawapenda na anatamani mshiriki ila wapambe ndiyo hawataki . Wanatamani mkachinjiwe baharini .
Ila kwa kub mtumaini Mungu lolote linaweza kubadilika . Imeandikwa yote yanawezekana kwa yeye aaminiye .
MUNGU awalinde na kuwabariki
Mwana maombi.

- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa