Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
FakecodeBwana lema
I rebuke your dream in the name of Jesus ChristBwana lema
Haya wahi NMB mshahara ushatokaKatikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.
Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha umekatika. Mti uliosifiwa kuwa ni wa ajabu...ukawa sehemu ya matambiko ya WanaArusha na WanaKasikazini.
Mti uliotumika kutabilia wengine maovu...nao unaenda unaenda kuanguka.
Kama huo mti haujaangukia watu, acha uanguke tu ili waende kanisani na misikitiniKatikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.
Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha umekatika. Mti uliosifiwa kuwa ni wa ajabu...ukawa sehemu ya matambiko ya WanaArusha na WanaKasikazini.
Mti uliotumika kutabilia wengine maovu...nao unaenda unaenda kuanguka.
Mjinga wewe ataanguka babako sio Lema. Stupid.Katikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.
Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha umekatika. Mti uliosifiwa kuwa ni wa ajabu...ukawa sehemu ya matambiko ya WanaArusha na WanaKasikazini.
Mti uliotumika kutabilia wengine maovu...nao unaenda unaenda kuanguka.
Na huyu ataota anafiiiiinywa na atakuta mtu anampumulia kweliNdoto zote nzuri,mbaya ni ile unaota upo chooni unakojoa,ukiamka unakuta ni kweli pabichi.