Nimeota ndoto: CCM kupeleka chombo angani

Nimeota ndoto: CCM kupeleka chombo angani

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,678
Nimeota ndoto kuwa Chama cha Mapinduzi kina mpango wa kupeleka chombo juani. Kwa kuepuka ukali wa jua, chombo hicho kitafika kwenye jua saa mbili na nusu usiku na kitaanza safari ya kurudi duniani saa kumi na nusu alfajiri.
 
Bujibuji kwani lile jua saa mbili usiku linakua halipo kabisa au lipo ila linakua halifiki kwetu tu??
 
Last edited by a moderator:
watakuwa wamepata wataalam kutoka kigoma, sumbawanga na tanga
 
Ukiona hivyo basi ujue CCM haitotoka madarakani.... labda kwa zengwe tu.... kuwa watu wamekichoka kama waisrael walivyochoka kula chakula kutoka Mbinguni enzi za Mussa...
 
Kwa safari za kiungo ungo nakubalina na wewe
 
Chombo cha CCM kimepata hitilafu kikiwa hata hakijafikia urefu wa mnazi

Sasa kitaendelea na safari au ndo basi tena?maana kwenye mdahalo mambo hayakuwa mazuri leo!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom