MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 501
- 1,152
Hii ndoto hiko wazi kabisa! Unakimbizwa na roho ya ukichaa/uchizi! Uenda hiko ndani ya familia/ukoo na wewe ndo mlengwa. Hujawahi kuona mtu alikuwa mzima kabisa lakini akafika ukubwani akawa chizi? Kama wewe ni Mkristo, vunja maagano ya dhambi/uovu wa kurithi vinginevyo unalo!Hii ndoto itakuwa na maana gani?
Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.
Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.
Mshana Jr
Rakims
Changamoto za Kiroho. Roho inapoacha mwili na kwenda kuzurura usiku huko duniani.. Lakini pia kunaweza kuwa na tafsiri nyingine kwamba kuna tatizo linataka kujitokeza lakini unajitahidi kulikwepa kwa nguvu kubwaHii ndoto itakuwa na maana gani?