Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Loh ndoto mbaya sana, naomba Mungu apishilie mbali hili janga. Marubani na Mainjinia wa fastjet kuweni makini.
Mkuu umeota usiku, ama? Hii post ni ya 11:23am.
ni ndoto tu,hata mimi niliwahi kuota ndege ya malaysia imepotea angani
Kwani fast jet si anajulikana ashaanguka na sasa tuna nyingine