Nimeota CCM imeanguka Uchaguzi Mkuu Oct 2015 na vurugu kubwa zimelikumba taifa

Sio kosa lako bali ni jinsi ulivyo wewe kumbuka kuwa kila mtu unataka afikiri unavyotaka wewe!!! Utaja mlazimisha hata mpenzi/hawala /mkeo/mmeo kufuata yako hata yawe ya hovyo!

Tuna tatizo kbwa sana nchini la watu wanaoweza kufikiri vizuri na haya ndio matokeo ya tatizo hilo ...!!
 
Mtauana huko huko Uchagani,

watanzania hatuna utamaduni wa kuchukiana, ila hawa wachaga wa CHADEMA wanajaribu kwa hali na mali kutupandikizia chuki.

Uchaguzi utafanyika kwa Amani, hakuna hata sisimizi atakayeuwawa. Hizi ndoto zenu za kishetani hazitafanikiwa.

Hakuna shetani zaidi ya yule ambae anawafanya Watanzania mafukara hata kushindwa kupata uhakika wa kula milo stahiki ya siku moja tu achilia mbali wiki nzima huku yeye mwenyewe akiogelea kwenye utajiri wa kutisha ambao unatokana na kodi za hao hao mafukara

Mna roho za ajabu sana nyie hata Shetani anawaogopa .....!!
 
Ndoto yako kijana INA ukweli kabisa mafisadi weusi wataanguka hiyo uloona mauaji ya kimbari inaashiria mafisadi wa ccm walowezi weusi watakufa kwa prasher na sio wananchi ni mafisadi ndio watakufa kwa kimbaru
 
Nimechoka na ukoo wa panya Babu,bibi,baba,mama na mtoto wote wezi naomba anguko Hilo litimie
 
kweli minaona huu mwisho wa mwaka huu kazi ipo jamani tuombe sana mungu
navyo jua machafuko ni hatari sana tena ivi kibongo bongo watu hatujui machafuko yalivyo itakua ni shughuli pwevu sana kama yatatokea tuzidi kuombea amani nchi yetu ni nzuri sana ata kama viongozi wetu walaku wa pesa za walalahoi mungu atuweke mkono tu..
Nitaikataa CCM hata kama kufanya hivyo utakuwa ndio mwisho wa dunia. CD yenu ya wapinzani wakipewa nchi kutatokea vita imechuja sasa mnakuja na hoja hii mfu.
Watanzania wenzangu tuikatae CCM kwa gharama yo yote, kwani hawa ni wanyonya damu zetu kabisa wanakotupeleka ni upotevuni. Tunataka Mungu afanye nini zaidi ya kutuonyesha jinsi wanavyotukamua
 
Nchi hii ili tutokee katikaa mfumo huu wa kuoneana haya katika kuwajibishana..we need changes kwa gharama yoyote..haiwezekanii mkuu wa nchi kujing'atang'ata na kuchekacheka katika maamuzii..kuyalinda majizii..we need change for the betterment of our next generation

Exactly;
 
Kama kweli vurugu zitatokea hapa nchini, zitasababishwa na dhuruma ya kisiasa. Dalili dhahiri nipale Walioshindwa wanapotangazwa kuwa washindi na kuapishwa huku walioshinda wakiachwa.
 
Mikoa yote uliyotaja ni mikoa ya wapiganaji nadhani mikoa iliyobaki ndio inayodekeza ccm
 
Ni kweli nimeota si masikhara hata kidogo, uchaguzi wa rais wabunge na madiwani CCM imeanguka vibaya, wakatangaza matokeo kwa nguvu kuwa CCM imeshinda ndipo ghasia zikaanza katika miji ya Mwanza, Mbeya, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro na hatimae kusambaa nchi nzima, watu wanauana kama mauaji ya kimbari Rwanda, ndoto hii ilikuwa mbaya sana, na mungu atuepushe CCM ikishindwa ikubali kuondoka kwa amani tu, wananchi wamekichoka hiki chama na serikali yake.

HEE NDOTO NJEMA HIYO NIMEIPENDA NA IWE HIVYO,USIKU UMESONGA SANA MCHANA INAKARIBIA.Mungu tuepuke na machafuko ila tunaomba sana ndoto hiyo itimie
 
Ni kweli nimeota si masikhara hata kidogo, uchaguzi wa rais wabunge na madiwani CCM imeanguka vibaya, wakatangaza matokeo kwa nguvu kuwa CCM imeshinda ndipo ghasia zikaanza katika miji ya Mwanza, Mbeya, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro na hatimae kusambaa nchi nzima, watu wanauana kama mauaji ya kimbari Rwanda, ndoto hii ilikuwa mbaya sana, na mungu atuepushe CCM ikishindwa ikubali kuondoka kwa amani tu, wananchi wamekichoka hiki chama na serikali yake.
Ushindwe na ulegee hilo halitakaa litokee kamwe!Ujue ndoto yako mara nyingi ni marudio ya unayoyawaza mara kwa mara.Acha kuwaza vurugu na vita!Mambo yanaweza fanyika bila vurugu wala vita.
 
Ni kweli nimeota si masikhara hata kidogo, uchaguzi wa rais wabunge na madiwani CCM imeanguka vibaya, wakatangaza matokeo kwa nguvu kuwa CCM imeshinda ndipo ghasia zikaanza katika miji ya Mwanza, Mbeya, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro na hatimae kusambaa nchi nzima, watu wanauana kama mauaji ya kimbari Rwanda, ndoto hii ilikuwa mbaya sana, na mungu atuepushe CCM ikishindwa ikubali kuondoka kwa amani tu, wananchi wamekichoka hiki chama na serikali yake.

Unachotakiwa kufanya ni kuomba na kufunga kuhusu uchaguzi ili uwe wa haki, tafuta wanamaombi walipo ili kuwashirikisha kuiombea nchi yetu ili iendelee kuwa na amani, ingawa EDWARD LOWASSA atashinda.
 
Ni kweli nimeota si masikhara hata kidogo, uchaguzi wa rais wabunge na madiwani CCM imeanguka vibaya, wakatangaza matokeo kwa nguvu kuwa CCM imeshinda ndipo ghasia zikaanza katika miji ya Mwanza, Mbeya, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro na hatimae kusambaa nchi nzima, watu wanauana kama mauaji ya kimbari Rwanda, ndoto hii ilikuwa mbaya sana, na mungu atuepushe CCM ikishindwa ikubali kuondoka kwa amani tu, wananchi wamekichoka hiki chama na serikali yake.
[/QUOT
Unachotakiwa kufanya ni ku
 
Back
Top Bottom