Mafunguo 88
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 155
- 184
Ukifatilia saaaaaana Bungeni utagundua pamoja na kuwa bunge letu lina wabunge wengi wa CCM ambao hawajawahi kuwa na mawazo sawa na wapinzani sasa wameanza kuchoshwa na matamko, uongozi uliopo
Hii imetokana na jambo moja Kiongoz mkuu ameshindwa kuongoza ukitaka kujua hili jaribu uchunguze utagundua waheshimiwa walioteuliwa waliowengi wanajiona maboss wa waheshimiwa waliochaguliwa ndio maana sasa inafikia mahali kuna kua na bifu la chini kwa chini baina ya makundi haya hasimu yaliyozaliwa Tanzania
Siku zote ukishindwa kuongoza unaegemea upande mmoja na ukifanya hivi ujue umejimaliza kwani walioachwa wakiamua kukuonesha umhimu wao ujue unaweza pata msukosuko na kupoteza heshima yako
Kosa moja lililofanyika ni hili, Kiongoz mkuu ameegemea upande wa majeshi na kisiasa amewapa kiburi aliowateua tena wale ambao hata hawakupigiwa kura fatilia matamshi yao tuu utagundua jambo mfano Mh Makonda ktk hotuba zake anamtaja kwa wema uliopitiliza na mara nyingi zaid JPM
Sasa wakati umefika wa wenyebusara kufanya kazi
KAZI NI HII
Wabunge woote bila tofauti zao eidha hawampendi pendi au hawampendi kabisa Mh JJPM alafu na mahakama mwanzo zilikua zinatetea saaaaana serikali lakini imefikia mahari wameanza eidha kuchoka choka au kuchoka kabisaaaaaaa sasa hii mihimili miwili ikiungana na wakawa na taswira moja tujiandae kuona jambo la kihistoria nchini mwetu yaaaani mihimili kuukataaa mhimili wenye kiburi
Sipo kisiasa kabisa na haya ni maono yangu tuu.