Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,039
- 13,471
Bora yako wewe umeamka na upako !!!
Msalie mtume weye!!Ngoja nipite zangu kuelekea chumbani kulala........
w'end mbovu kabisa hii..........
sema allahu masali wasali maleee....:biggrin: mi mzima!ha ha ha ha ha ha
mzima wewe?
Shukuri Bwana kwa kuwa ni mwema na fadhiri zake ni za milele.
sema allahu masali wasali maleee....:biggrin: mi mzima!
mhhhh:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked: aiseeee....nimekukosa sana.......
mhhhh:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked: aiseeee....
Nimeonja pendo lako nikajua u mwemaaa,nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe!
Na upole wako Bwana,na huruma yako wewe,umenitendea wema usiopimika,Nitakushukuru na kukutukuza wewe.
Kina baba simameni ukapige makofi*2
rudia kiitikio.
Tumsifu GOD
Shukuri Bwana kwa kuwa ni mwema na fadhiri zake ni za milele.
Asubuhi gospel,jioni nini....????Wikendi hii hasa asubuhi tunakula kwanza gospel
hivi hiyo nyimbo waliimba akina nani vile? Msondo au Sikinde?