Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe
Msamaha wako Bwana na upole wako wewe
Umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
huu wimbo ulitungwa na B Mukasa
Umeokoka mkuu?
Nani sasa, pianist au mtoboasiri?
mtoa mada.
Hongera kwa kumbuka mbali, na hongera kwa kushukuru.
naona mtoboa siri umekumbukia makuburi
naona pia hapo ulipo kwa david cameroon umemis nyumbani
home sweet home na bahati yako snow imewapiga chenga mwaka huu.
Yaani! We acha tu! Niunge mkono kama haujaja upande huu nilipo. Bwana anakupa uhondo wa ajabu!
haleluya haleluya haleluyah!
Hallelujah! Ndio maana nakupenda mpendwa!
upendo mtakatifu udumu milele amina.
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
Ukarimu wako (Bwana), na huruma yako (wewe), msamaha wako (Bwana), na upole wako (wewe) umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.