valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 895
Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili tofauti, duhh japo kungekuwa kuna kamfanano kadogo nimgemsifu.
Nawaomba mijimama na mijibaba ya JF msizuge na kuwatia watu tamaa kwa avatar ambazo hamfanani nazo hata chembe.
Dah..afrodenzi,Hata hujui ni nani unae muongelea..
Mwanaume mzima utavuliwa suruali usutwe..
Kama unajiamini kweli si uweke mambo
Hadharani ..weka hiyo picha sema ni ya nani .
Otherwise we ni mmbea wa kutupiliwa mbali ..
Na aibu huna ..
FB ndio nini? Full Board? Hiyo avatar ni wewe? kama ndio, yanini dadangu, mimi nimesha kumaindi.
nahisi wewe ni men
Huuoni huo mkono wako wa kushoto uko wapi?
dogo unatagombania bwana na dadako????siyo kesi kama unataka kunitunuku ua mzuka tu!!!!niPM sitotangazia!
Mambo Mkuu?Dah..afrodenzi,
Taratibu mamaa!
Utasutwa na wewe, nyamaza!kusema kweli bishanga kifaa ambacho niliopoa jf 99 percent kinashabihiana na mrembo mwenyewe!
.........should i say anything more?
Mambo Mkuu?
Hawa watoto waliofeli fomu foo wanakera sana, utafikiri wamepigwa BAN fesibuku ndio wanakimbilia huku.
Ikiwa mtoto kaanza na utumbo kama huu unafikiri atakuja kuwa vipi Great Thinker na kiongozi (wa sasa au wa kesho)?
Bora hawa wangewekewa JUKWAA lao LA WATOTO
humu kuna usalama kweli wandugu
Usalama utoke wapi na kuna watu washaanza kung'aka nyuzi imewaingia, wakiisoma wanajitazama halafu wanatazama avatar zao halafu wanaanza kunishambulia/ Wa kwanza afrodenzi, huyo kwa majibu yake tu ananonesha hii nyuzi imemgusa pabaya sana, maana akitazama avatar yake na yeye alivyo, ni kama mchana na usiku. Kwi kwi kwi kwi.
naona jina langu limekukaa sana..
nimekwambia uweke ukweli wa mambo
hadharani na uache umbea mwanaume wewe.
haya mi niko ka usiku na mchana at least na
Vaa sketi .. we mwanaume mzima utafungwa
kanga moja .. endelea kuwashwa na mdomo wako huo ...