Nimeonesha kumpenda ananidharau

Nimeonesha kumpenda ananidharau

Mkuu, sajili laini nyingine, isave namba hiyo kwenye simu yako hivi 'Stela Mlimani city' halafu anza kujichatisha kumahaba.
NBnjia hii inahitaji uwe na kiasi fulani cha ukichaa
 
Wakuu Habari!!

Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja hapa kuuliza jambo gani ninaweza kufanya ili turudi kama awali maana naona kama Ana dharau sana nowadays

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hakkisha unaanza kumuonyesha humjali (ni ngumu lakini inawezekana)

2. Mwanamke wa kiafrika siku zote ukimuonyesha unampenda ndio umempoteza.

3. Mfanyie vurugu, anzisha visa ikiwezekana mkate vibao alafu akimaliza kulia mbembeleze.

4. Demokrasia waachie ccm na chadema. Kwenye mahusiano hakuna demokrasia.

5. Mpelekeshe.

6. Muwekee "economic sanctions"! Kama ulikua unampa pesa cha chips acha kuanzia leo... Kama huwezi acha punguza!!

7. Jua kwamba uko kwenye hatua ya mwisho ya mahusiano... Jiandae kisaikolojia kumpoteza.

8. Tafuta mbadala wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujafafanua vizuri, Kwanza kumpenda mtu/mpenzi wako sio makosa.....Je mwanza ulikuwa hujamwonyesa?? na yeye alikuwa anakuonyesha vipi?

Means kuwa mwanzo alikuwa nakuonyesha anakupenda wakati wewe humwinyeshi, na baada ya wewe kuonyesha unampenda akaanza kukudharau au?

Ebu weka cleare hapo
 
huruhusiwi kuonyesha hisia zote kwa demu wako za kumpenda kijana. ao watu ukiwaonyesha upende huwa wanakua ivio zarau wanafany kila aina ya jambo wakijua tuu si unampenda sanaa. na wakijua huwez muacha sababu una mpenda sana
 
Daa mkuu nimeupenda ushauri wako mkuu ASANTE SANA
1. Hakkisha unaanza kumuonyesha humjali (ni ngumu lakini inawezekana)

2. Mwanamke wa kiafrika siku zote ukimuonyesha unampenda ndio umempoteza.

3. Mfanyie vurugu, anzisha visa ikiwezekana mkate vibao alafu akimaliza kulia mbembeleze.

4. Demokrasia waachie ccm na chadema. Kwenye mahusiano hakuna demokrasia.

5. Mpelekeshe.

6. Muwekee "economic sanctions"! Kama ulikua unampa pesa cha chips acha kuanzia leo... Kama huwezi acha punguza!!

7. Jua kwamba uko kwenye hatua ya mwisho ya mahusiano... Jiandae kisaikolojia kumpoteza.

8. Tafuta mbadala wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom