Nimeonesha kumpenda ananidharau

Nimeonesha kumpenda ananidharau

Hawa viumbe Wana changamoto Sana
Kuna kiumbe mmoja nilikuwa nampenda Sana nikawa namhudumia kila kitu yaani hadi ped nilikuwa namnunulia Lakin from nowhere akaamua kusema hana future na mm niliumia Sana Lakin nikamwambia haina shida

Now niko nafanya mambo yangu sina hata mawazo nae tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habari!!

Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja hapa kuuliza jambo gani ninaweza kufanya ili turudi kama awali maana naona kama Ana dharau sana nowadays

Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka mi ngapii kwa sasa.

Una kadi ya CCm ?
 
achana nae, tafuta mzuri zaidi yake
mimi kuna manzi nilimuelewa ni jirani yangu akaleta dharau, saivi naleta mademu wazuri geto na anawaona kila siku nabadili, yeye ndio ananitafuta anakuja geto mi hata namba nishafuta

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante sana mkuu
Hawa viumbe Wana changamoto Sana
Kuna kiumbe mmoja nilikuwa nampenda Sana nikawa namhudumia kila kitu yaani hadi ped nilikuwa namnunulia Lakin from nowhere akaamua kusema hana future na mm niliumia Sana Lakin nikamwambia haina shida

Now niko nafanya mambo yangu sina hata mawazo nae tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom